Header Ads

U HEARD: Mzee Majuto azungumzia taarifa za kifo chake zilizosambazwa


Kupitia XXL ya Clouds FM leo Januuary 24 2017 Soudy Brown ameileta inayomhusu mchekeshaji King Majuto kuhusu taarifa zinazosambazwa ambazo sio sahihi kuwa amepata ajali na amefariki. 
‘Na mwaka huu mnataka kunia tena, mimi ni mzima, mara kwa mara wanatangaza mimi nimekufa…. mbaya sana’ – Mzee Majuto

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.