Header Ads

Ujumbe wa Mbasha Instagram Wazua Maswali Mazito,Kumbe Alikuwa Mume Bwege Ili tu Anusuru Ndoa Yake..!!

LEO Januari 21, 2017 mwimbaji wa nyimbo za Injili hapa Bongo, Emmanuel Mbasha ameweka wazi kuwa jambo la kuelewana kwenye masuala la ndoa siyo la ‘kitoto’, linahitaji mmoja kati ya wanandoa ajifanye mjinga ili uhusiano yaweze kudumu.
Mbasha ambaye amekuwa kwenye mgogoro wa muda mrefu na aliyekuwa mkewe Flora Mbasha hadi kufikia hatua ya kupelekana mahakamani na ndoa yao kuvunjwa ameweka picha yenye maneno haya kupitia mtandao wa Instagram.
Tafsiri katika picha hiyo ya Mbasha kwa baadhi ya followers wake wamehoji endapo yeye aliachana na Flora kutokana na mmoja wao kushindwa kujifanya bwege?
Soma hii hapa chini.

“Ukiona Ndoa Imedumu kuna mmoja kajifanya Bwege”
mbasha
Emmanuel na Flora walikuwa wanandoa na kubarikiwa kupata mtoto mmoja kisha kugombana na kufikia hatua ya kuachana na sasa kila mmoja anaishi kivyake.Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.