Header Ads

VIDEO:SNURA MUSHI APANDA NDEGE NA CHURA MPK NIGERIA,VIBOPA WA NIGER WAMPIGIA SALUT

Ni jambo la kijivunia kuona Bongo Fleva inazidi kushika kasi kila kona ya Afrika na hata Dunia kwa ujumla.


Vipo vingi vya kulithibitisha hilo lakini leo hii nimeinyaka hii clip fupi ya boss wa lebo kubwa ya muziki barani Africa kutoka nchini Nigeria Mavin Records anayefahamika kama Din Jazzy ambaye naye pia ni mwana muziki na producer pia.
Nimeinyaka clip yake fupi akiwa anaimba  ngoma ya Chura yakwake Snura, nina uhakika utaenjoy kuitazama clip hiyo.


A video posted by Boss Ngasa Dodoma (@bossngasadodoma) on

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.