Header Ads

https://www.youtube.com/channel/UCERjz5nmYNOtG_WBi-1S4xA

Video:Yanga Walivyopokea Kipigo Toka Simba....

Mchezo wa Yanga na Simba kwa dakika 90 ulimalizika pasipo kufungana, hivyo ililazimika kupigwa mikwaju ya penati ili kupata mshindi atakayecheza fainali na Azam FC Ijumaa ya January 13 2017, Simba wamekuwa vinara kwa Yanga kwa kuifunga kwa penati 4-2.

VIDEO:

No comments:

Powered by Blogger.