YALIYOJIRI MKOANI DODOMA
Waziri
Mkuu Kassimu Majaliwa akihutubia Jana wakati wa kufungua baraza la
ushauri (RCC) Mkoa wa Dodoma ambapo lilishirikisha Wizara,Idara na Wadau
mbalimbali wanaoratibu ujio wa Serikali kuhamia Makao makuu Dodoma Mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Chuo cha mipango ya Maendeleo Vijijini Dodoma ( Picha na PMO)
No comments:
Post a Comment