Header Ads

Ishu ya Kujaladia Makalio Yamtoa Povu Aunti Ezekiel


BAADA ya watu kumuandama mitandaoni kuwa anatumia ‘makalio ya dukani’ kuongeza muonekano mzuri wa mwili wake, muigizaji wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel, ameibuka na kusema aachwe kwani kama anatumia ni yeye.

Alisema wanaomkosoa hivyo hawana hoja kwani vitu hivyo vimewekwa kwa ajili yao madukani ndiyo maana vinauzwa hivyo hajali wanaomkosoa.

“Niwe natumia makalio sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel, ya kujaladia, niwe situmii, ni mimi. Waniache, kwani nikitumia kuna tatizo? Kwani madukani  yamewekewa kina nani?,” alisema Aunt alipozungumza na mwanahabari wetu kuhusiana na suala hilo

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.