Header Ads

Iyobo Anaogopa Kumnunulia Gari Aunt, Kisa MichepukoDANSA maarufu wa Kundi la Wasafi  Classic Baby (WCB), Moses Iyobo amefunguka kuwa kamwe hawezi kumnunulia gari mzazi mwenziye, Aunt Ezekiel kwa kuwa anaogopa atapandisha michepuko yake.
aunt-na-iyobo-2Aunt Ezekiel na mzazi mwenziye, Mose Iyobo.
Iyobo alifunguka hayo juzikati alipokuwa akipiga stori mbili tatu na Global Publishers ambapo alisema kwa sasa anajipanga kumnunulia nyumba mpenzi wake huyo lakini siyo gari maana anaweza kuwapandisha ‘michepuko’ wake kitu ambacho kitamuumiza bora nyumba mtu hawezi kukanyaga.
aunt-na-iyobo-3
“Hapa mimi najipanga nimnunulie nyumba lakini gari hapana nimeshakataa, akipandisha ‘mababy’ zake je? Bora nyumba hakuna mtu atakayekanyaga kabisa,” alisema Iyobo.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.