Header Ads

MREMBO HUDDAH AINGIA KWENYE LIST YA MASTAA WENYE FOLLOWERS WENGI INSTAGRAM BARANI AFRICA

Kadri teknolojia inavyozidi kukua ndivyo ambavyo mambo yanazidi kuwa rahisi. Mitandao imekuwa inarahisisha mambo kila siku hasa kwa macelebrity kwa kuwawezesha kuwasiliana na mashabiki zao muda wowote.

Instagram ni mtandao wenye nguvu kubwa sana na watumiaji wengi hasa kwa ukanda huu wa Africa Mashariki, na mastaa wengi kutoka ukanda huu wamekuwa wakiutumia vizuri mtandao huo kwa kutangaza kazi zao na hata kujikuza zaidi kupitia mtandao huo.
Mwanadada mrembo na maarufu kutoka nchini Kenya Huddah Monroe ameingia kwenye list ya mastaa wengi ambao wanakimbiza kwa kuwa na followers wengi katika mtandao huo wa Instagram.
Ikiwa ni baada ya kutimiza jumla ya followers Million 1 katika page yake mtandaoni hapo.
Instagram photo by HUDDAH MONROE ----_BQKvWyah9tb - JPG
screenshot-www.instagram.com-2017-02-06-14-31-33

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.