Header Ads

Nadhani Hiki Ndicho Kinampeleka Mrembo Tunda Polisi Central

Katika sakata hili la madawa ya kulevya jana ijumaa iliongezeka list ya watu wengine akiwemo video queen maarufu anayefahamika kama "TUNDA"
Kinachodaiwa kumpeleka video queen huyu central siku ya jumatatu ni kuhusu kuhusika katika matumizi ya madawa ya kulevya .....Katika page yake ya instagram january 14 mwaka huu alipost picha ya kinachohisiwa kuwa bangi nne zilizonyongwa, Ikumbukwe ya Kwamba bangi ni moja ya madawa ya kulevya

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.