Header Ads

Nitakubali Utetezi wa Steve Nyerere Endapo Nitajibiwa Maswali haya

Maswali niliyoyapata baada ya utetezi wa Steve kuhusu kukana matamshi yake aliyorekodiwa kwamba alikuwa anatania;

1. Aliyeonekana Dodoma napo hakuwa yeye?

2. Nape, Msukuma na Mwigulu walipata wapi Namba ya simu kumpigia Mama sepetu?

3. Nani aliyesababisha Nape kutoa kauli yake?

4. Nani aliyetoa siri za Mali ya makonda?

5. Je wana utani na mama Sepetu? Kwanini awaingize viongozi na mawaziri (Nape, Msukuma, Mwigulu) na si wengine kama hakuna ukweli?

6. Kwanini hakufika central police kumsindikiza dadake kama Hakupigwa marufuku kukanyaga na RC?

7. Kwanini simu yake alizima wakati Wema Sepetu alipokamatwa?

8.Kwanini kajibu tuhuma za Audio punde tu baada ya kutoka police?

9. Yupo tayali kukabiliana na ushahidi utakaotolewa na Mama Sepetu?

10. Ni kipimo gani kitaonyesha maneno aliyosema mbele ya waandishi yaaminiwe kuliko aliyoyasema kwenye Audio huku akithibitisha Kwa vitendo?

VINGINEVYO UTETEZI WAKE NI WA KUPUUZWA

By Mswangilishi/Jamii Forums

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.