Header Ads

Pichaz: Msanii Rachel Alivyowasili Kituo Kikuu cha Polisi Ishu ya ‘Unga’


DAR: Msanii msanii wa Bongo Fleva, Winfrida Josephat  ‘Rachel’ ameripoti leo katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar kwa ajili ya kuhojiwa kuhusu tuhuma zinazowakabili za kuhusika na biashara ya madawa ya kulevya.Rachel ameripoti kituoni hapo kufuatioa jina lake kutajwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kwamba naye ni miongoni mwa wasanii wanaotuhumiwa kuhusiaka na mtandao wa buashara haramu ya dawa za kulevya.Picha zinamuonesha Rachel akiwasili kituoni hapo huku akiwa amefunika uso wake kuogopa macho na kamera za wanahabari.
Zitazame picha hizo.


Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.