Header Ads

VIDEO: Aliyeomba ugoro akiwa amefukiwa Mgodini Geita aongea kwanini alitaka ugoro

Image result for ugoro
Habari kubwa miongoni mwa 10 kubwa za mwanzoni mwa mwaka 2017 Tanzania ni pamoja na hii ya Wachimbaji 15 wa madini Geita walionusurika kifo baada ya kufukiwa Mgodini kwa zaidi ya saa 70 lakini wakasalimika.
Umeshawahi kuwa kwenye hatari ya maisha yako alafu ukakumbuka na kutaka uletewe kitu kinachokupa starehe? sasa kati ya hao 15 kuna mmoja aliomba aletewe Ugoro na ndio huyu  imempata mtazamwe kwenye hii video hapa chini…

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.