Header Ads

VIDEO: Charles Kitwanga kasimama bungeni leo na kuuliza swali

Charles Kitwanga ni waziri wa zamani wa mambo ya ndani ya nchi ambaye May 20 2016 Rais John Pombe Magufuli alitengua uteuzi wake ambapo kwenye bunge la Tanzania ni muda mrefu umepita toka aliposimama kuongea.
Sasa leo February 2 2017 alisimama kwa mara ya kwanza kuuliza swali ambapo baada ya kutajwa jina lake Wabunge wote wakiwemo wa upinzani walipiga makofi kumshangilia, tazama kwenye hii video hapa chini

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.