Header Ads

VIDEO: Polisi Yaongea Kwanini Diamond Platnumz Hakufikishwa Mahakamani Kama Wale wa Singida

Mohamed Mpinga ni Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani Tanzania na amekubali kukaa kwenye Exclusive Interview na AyoTV kujibu baada ya watu ku-comment kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuona Diamond amepost picha akiwa na Kamanda na hakupelekwa Mahakamani.

Kamanda Mpinga ameeleza kwanini Mwimbaji Diamond Platnumz hakupelekwa Mahakamani baada ya video yake kusambaa akiendesha gari huku akiimba na kucheza wakati kuna wale wa Singida walipelekwa mpaka Mahakamani kwa kosa hilohilo……

TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.