Habari nyingine inayofanyiwa kazi
sasa hivi ni kuhusu Serikali kuhamia Dodoma ambapo Waziri mkuu tayari
alishaongoza jahazi kwa kuhamia, leo AyoTV Dodoma inae
Waziri mkuu Majaliwa Kassim akizungumzia wanaofata baada ya yeye kuhamia
pamoja na mipango mingine kwenye hii video hapa chini
VIDEO: Waziri mkuu kuhusu wataohamia Dodoma baada ya yeye
Reviewed by Boss Ngasa
on
Wednesday, February 01, 2017
Rating: 5
No comments:
Post a Comment