Header Ads

VIDEO:ALI KIBA APOTEZA MVUTO DODOMA SHOW YAKE HAIKUWA NA HADHI YAKE,BAADHI YA MASHABIKI WABOREKA TENA

Usiku wa kuamika leo Msanii mahiri Ali kiba alifanya Show Dodoma katika ukumbi wa Perugina ambapo Show hii ilikuwa ni marudio baada ya mwaka jana mwez wa 12 kughairisha show yake kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wake,Show aliyofanya jana Dodoma ilikuwa nzuri lakini ilikuwa haina hadhi yake kutokana na status aliyokuwa nayo,Mashabiki wake wa Dodoma hawakujitokeza kwa wingi kama watu walivyokuwa wanategemea,Sababu kutokana na promo iliyofanyika mwezi mzima ilikuwa ni kubwa sana na tulitegemea ule ukumbi utajaa sana lkn ilikuwa tofauti na vile tulivyotegemea.Kiukweli show aliyofanya jana kamwangusha sana Promota yani hata Christian bella anamshinda:Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.