Header Ads

VIDEO..Hivi Ndivyo Mbowe na Naibu Spika Leo Walivyoozana Bungeni Kisa Swali la Lema Kufungwa Gerezani kwa Waziri Mkuu..!!


Mbowe aliuliza kuwa kutokana na viongozi wa chadema ikiwamo wabunge 2 Lema kunyimwa dhamana na Lijuakali kufungwa kwa sababu za kisiasa, wabunge 6 wa Chadema kufungwa, kiongozi wa Chadema Lindi nae kufungwa na viongozi wengine takribani 216 kufungwa au kuwa na kesi mahakamani ni utekelezaji wa kauli ya Magufuli kufuta upinzani kabala ya 2020?
Waziri mkuu anasema masuala ya mahakamani hawezi kuyazungumzia na nchi inaongozwa kwa katiba na sheria
Mbowe anasema ushahidi upo wa kauli za rais kuanagamiza upinzani kabla ya 2020 na hafuati katiba na sheria kama alivyodai ila waziri na wakithibitisha hilo waziri mkuu atakuwa tayari kujiuzulu, ndipo naibu spika akazuia maswali hayo na kukawepo kelele kutoka kwa wabunge wa upinzani

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.