#mangekimambi_
- Part 3.... uwiiii naomba nipigilieeeeeeee mstarii hiyo point ya Wema
ya kwamba Makonda anawajua wauza madawa ya kulevya lakini anataka
kuwalinda na kujisafisha ili baadae aseme kuwa yeye alishadili na issue
ya madawa ya kulevya kwa mkoa wa Dar na kuwaweka ndani watuhumiwa... in
short Makonda kawatoa hawa kina Wema kafara.... . . Unaambiwa
hao wamiliaki wa Qbar sijui George and Dragon unaambiwa wamefika wametoa
mamilioni wooooote wameachiwa siku hiyo hiyo hakuna alielala ndani Ila
kina Wema ndo wakalala ndani Naomba mjiulize why hao wamiliki wa hizi
bar wameachiwa??
|
No comments:
Post a Comment