Header Ads

https://www.youtube.com/channel/UCERjz5nmYNOtG_WBi-1S4xA

FULL VIDEO: Mastaa walivyonogesha usiku wa Malkia wa Nguvu ya Clouds FM

March 24 Clouds FM imewakutanisha wakazi wa jijini la Dar es Salaam kwenye Tamasha waliloliandaa la Malkia wa Nguvu, show ambayo walipanda mastaa mbalimbali kutoka Bongoflevani kutoa burudani wakiwemo, Joh Makini, Nikki wa Pili, Nandy, Shilole, Baraka De Prince, Msami, Bill Nas, Dayna Nyange, Chege na wengineo.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.