Header Ads

https://www.youtube.com/channel/UCERjz5nmYNOtG_WBi-1S4xA

Harmonize Jifunze Kwa Diamond UtafanikiwaKufuatia mapovu anayoyatoa kwenye mitandao pale anaporushiwa vijembe Harmonize ameshauriwa haya:

HARMONIZE JIFUNZE KWA DIAMOND UTAFANIKIWA:Nadhani @harmonize_tz atambue kuwa boss wake @diamondplatnumz mpaka hapo alipofika ameruka madaraja mengi sana mfano:diamond alitoa wimbo wa nataka kulewa wakajitokeza watu wakasema kaiba idea yote tena wakawa wanazunguka kwenye media kulalamika diamond ndani ya miezi kama miwili hakuwajibu kwa maneno bali aliachia ngoma kali ya kesho ikawazima wote waliokuwa wanalalamika.@richmavoko alifanya show mbovu ya fiesta akasema amelogwa na diamond ila diamond hakumjibu chochote alimuacha tu afurahishe nafsi yake mana aliona akijibu ataonekana ndio mbaya leo hii mavoco huyo huyo yuko w.c.b ya diamond. @diamondplatnumz alitamka waziwazi kuwa anampenda @qchief sana tena baadae q.chief akasema diamond anamuibia nyota yake ila leo q.chief huyo huyo amerudi na yuko na diamond vizuri tu.@harmonize_tz hebu jiulize diamond angekuwa watu wote wanaomkera anajibu mitandaoni basi account yake ingejaa majibizano na watu ila yeye alichagua kuwajibu kwa kazi na hayo ndio majibu mazuri sana kwa haters.Ishi kwenye misingi hii ya @diamondplatnumz kujibu watu kwa kazi utafanikiwa sana.

USIWAJIBU SANA KWA MANENO JIBU KWA VITENDO.WEWE BADO NI MTAFUTAJI.

KUNA WATU KATIKA MAISHA WAPO KWA AJILI YA KURUDISHA NYUMA JUHUDI ZA WATU NA KUNA WATU AMBAO UKIPATWA NA BAYA KWAO NDIO FURAHA JIFU

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.