Header Ads

Hatarii..Mchungaji Msigwa Naye Amrushia Makonda Kombora Zito,Adai Anayoyafanya ni Upuuzi wa Kiwango cha Juu..!!!

Hakuna vita yoyote ya kiroho wala kimwili ALIYOFANYA (BASHITE)Makonda BALI, ni Upuuzi wa kiwango cha juu in the real sense,
ANAJARIBU KUFANYA MAMBO YA TEMBO , KUMBE ANA ROHO YA SUNGURA, kulia haitasaidia , atubu kwa kuwasingizia watu UONGO!! Bashite you are still young , go get some leadership skills!,
TITTLE , AUTHORITY AND POWER is dangerous without leadership skills.
By Peter Msigwa

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.