Header Ads

https://www.youtube.com/channel/UCERjz5nmYNOtG_WBi-1S4xA

HIVI NDIVYO MCHUNGAJI GWAJIMA ALIVYORUSHA KOMBORA BAADA YA SKENDO YA KUZAA NA MFANYA USAFI WA KANISANI KWAKE:

Siku za hivi karibuni kumekuwa na makanda wa video unaosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ambao anaonekana mwanamke mmoja akihojiwa akidai kuwa amezaa mtoto na Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima.

Katika video hiyo anaonekana mtangazaji wa Clouds Fm/Tv, Soudy Brown akimhoji mama huyo ambaye alisema kuwa amezaa mtoto na Askofu Gwajima. Mwanamke huyo anaeleza kuwa kazi yake yeye alikuwa akifanya usafi katika kanisa hilo kipindi likiwa Kawe kabla ya kuhamia Ubungo.

Kufuatia Tuhuma hizo, kiongozi huyo amesema kuwa leo atatolea ufafanuzi suala hilo huku akidai kuwa ni watu wamejipanga kumchafua. Hapa chini ni video ya Askofu Gwajima akihubiri Kanisani kwake. VIDEO:

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.