Header Ads

Mange Afunguka Kuhusu Beef la Diamond na Alikiba...Adai Diamond inatakiwa Aombe msamaha


Mange Afunguka Kuhusu Beef la Diamond na Alikiba...Adai Diamond inatakiwa Aombe msamaha..
Ameandika haya :

Mangekimambi - Kwanza kabisa naskia kumbe ni mstari wa nyimbo tu, okay tuchukulie sio mstari wa nyimbo, It's clear Dai wants the beef to end lakini kuna kitu inabidi wabongo mkielewe, mla ndizi husahau ila mla maganda hasahau..... Ni rahisi kwake Dai kusahau yaliyopita sababu yeye ndo alikuwa mrusha makombora kwa mwenzie. Sidhani kama Kiba aliwahi kumjibu... Dai kamkashfu mnoooo mwenzie bila uwoga yani kwa hiyo ni rahisi kwake Leo kusema bifu liishe. Fans wa Dai msilete ubashite kwenye hili, kijana wenu alitakiwa atumie busara. Kwa vile yeye ndo aliekuwa akimtusi mwenzie kila Leo alitakiwa aombe msamaha. Na sio lazma in public Hata in private angemtafuta Kiba waongee kiume yaishe. Sio kumstukizia kwenye media kuwa yeye hana bifu baada ya kashfa zote zile kutoka kwake na kwa management yake.... I'm sure Kiba ange-let go kama Dai angeweza kusema 'sorry'... Jiweke kwenye viatu vya Ali, wewe ungekubali yaishe kihivyo considering mtu alikuwa anakudiss mpaka familia yako? Ungekubali yaishe bila kuambiwa samahani??? Just because Daudi Bashite ni team WCB msikubali kuambukizwa akili za zilo zilo 🤣🤣.. Mimi Kama Mimi haki Nna hamu sanaaa ya kusikia single ya Dai na Kiba maana najua itakuwa 🔥🔥...Yani vibibi gagula woooote chupi zitalowa 🙈🙈.....
.
.
.
By the way wasafi.com ni ya clouds FM wala sio ya Dai.... Nawasaidia tu....Msidanganyike kivile......Yani pale it's Just Ruge & Co gaining more control over bongo flava....Hakuna lolote Wizi mtupuuuuuuuu........
. .
.
Alikiba Jana alipost picha hiyo hapo juu na haya maneno baada ya Diamond kudai hawana Beef.. "Umeshatibua Mavumbiee Unatafuta Pa kuhemeaaa 🎶
#KingKiba

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.