Header Ads

https://www.youtube.com/channel/UCERjz5nmYNOtG_WBi-1S4xA

NIMEKUWEKEA VIDEO BAADA YA NAY WA MITEGO KUTUA DODOMA BAADA YA KUITWA NA MWAKYEMBE WIZARANI:

Image result for nay wa mitego

Siku kadhaa zimepita tangu msanii Nay wa Mitego kuachiwa huru, ambapo alikuwa akishikiliwa na Jeshi la polisi kwa tuhuma za wimbo wake wa ‘WAPO’ kudaiwa kutokuwa na maadili.
Msanii Nay wa Mitego aliachiwa huru baada ya agizo lililotolewa na Rais Dk. John Magufuli kupitia kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe ambapo aliomba aonane na Nay wa Mitego ili kumshauri vitu vya kuongeza kwenye wimbo wake wa ‘WAPO’. Sasa jioni hii Nay wa Mitego amefika Dodoma wizarani kwa ajili ya kuonana na Dk. Mwakyembe.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.