Header Ads

https://www.youtube.com/channel/UCERjz5nmYNOtG_WBi-1S4xA

PICHA 22: Kutoka kwenye usiku wa Malkia wa Nguvu Dar es salaam


March 24 Clouds MEDIA imewakutanisha wakazi wa Dar es Salaam kwenye kilele cha kampeni ya Malkia wa Nguvu show ambayo ililetwa duniani ili kuongezea nguvu juhudi zote za Wanawake wanaopambana kwenye kila hatua.
Usiku huu ulisimamiwa kiburudani na Mastaa mbalimbali kutoka Bongoflevani akiwemo Joh Makini, Nikki wa Pili, Nandy, Shilole, Baraka De Prince, Msami, Bill Nas, Dayna Nyange, Chege na wengine.

.Shilole

.Country Boy (kushoto) na Bill Nas wakitoa burudani ya nguvu

.Country Boy

Bill Nas

Mwimbaji Nandy

Madee

Nikki wa Pili

Joh Makini

.G Nako

.Msami akitoa burudani ya nguvu

.Belle 9 akitoa burudani ya nguvu kwenye usiku wa Malkia wa Nguvu

.

.

.

.

.

.Madee akiwa na team nzima kutoka Clouds Media Group

.Dj Zero (kushoto) akiwa na Julio

Mtangazaji Mami Baby na Dj Senyorita

.Dayna Nyange akiwa na Chege kwenye usiku wa Malkia wa Nguvu

.

.

.Madee  akiwa na Dj Zero wa XXL ya Clouds FM
UNAWEZA UKABONYEZA PLAY KUTAZAMA  JINSI MASTAA WALIVYONOGESHA USIKU WA MALKIA WA NGUVU

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.