Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / RAY: Ningeteuliwa Waziri Ningeanza Kuwachuja Wasanii

RAY: Ningeteuliwa Waziri Ningeanza Kuwachuja Wasanii

| No comment


Vicent Kigosi ‘Ray (kulia).
MKONGWE wa filamu Nchini, Vicent Kigosi ‘Ray’, amefunguka kuwa kama angeteuliwa kuwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, angeanzisha mpango maalumu wa kuwachuja wasanii.
Akiongea na +225 Kipindi cha XXL cha Clouds Fm amedai kuwa kila mtu anataka kuwa msanii, hakuna mgawanyiko wa kazi. Msanii akicheza filamu moja basi kesho ameshakuwa staa na anavaa kofia zote kama vile utayarishaji, uongozaji na uigizaji.Ray amekerwa sana na jambo hilo pia amemshauri Dk. Harrison Mwakyembe kuwa aliangazie soko la filamu Bongo kwani sinema za kizungu zinauzwa shilingi 700 na filamu za hapa Bongo ni shilingi 2500.
Ray amedai kuwa filamu hizo zinauzwa gharama hiyo kwa kuwa zinauzwa bila ya kulipiwa kodi.
Salum Milongo/GPL