Header Ads

TAZAMA HAPA PICHA NA VIDEO ALICHOKIFANYA MH NAIBU WAZIRI ANTHONY MAVUNDE KWENYE SIKU YAKE YA KUZALIWA HUKO MKOANI DODOMA

Mh Naibu Waziri Anthony Mavunde ambaye ni Mbunge wa Dodoma Mjini weakend hii alisherekea siku yake ya kuzaliwa na watoto wanaishi kwenye kijiji Cha Matumani, na kuwapatia baadhi ya msaada wa mahitaji mbali mbali ya kila siku,Vile vile Mh aliambatana na watu mbali mbali wakiwemo wasanii kama vile Ben Pol, Mc Pili pili,Barakha the Prince, Juma Jux Pamoja na wasanii wa Dodoma kwanza ..TAZAMA HAPA YALIYOJIRIGet it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.