Header Ads

U HEARD: Ndoa ya Meneja wa Diamond yadaiwa kuingia kwenye mgogoro


Ndoa ya meneja wa mwimbaji Diamond PlatnumzBabu Tale imedaiwa kuingia kwenye mgogoro baada ya mke wake kucomment maneno makali kwenye post ya meneja huyo ambapo baadae Babu Tale aliyafuta. 
Katika post hiyo Babu Tale alipost picha akiwa na mke wake huyo na kuandika …..>>>“Utajiri mzuri wa familia nasfi zikiwa zenye furaha”
Ndipo mke wa Babu Tale alipoamua kucoment…. “mtu yeyote mwenye hisia za kimapenzi na huyu mwanaume upo huru kumfuata, maana akiharibu anakimbilia instagram kujitakasa, hana lolote, umaarufu unakulevya, fanya maamuzi ya kiume”
Leo March 7 2016 kupitia XXL ya Clouds FM, Soudy Brown kwenye U heard amemtafuta Babu Tale lakini hakujibu lolote na ndipo alimpigia rafiki wa karibu Said Fella ambaye alidai hajaona chochote maana yupo hospitali anamuuguza mkewe…..>>>“Niko hospitali mke wangu anaumwa acha maneno, mimi niko hospitali sijasoma chochote labda nikikata simu hii nimulize mdogo wangu nini kimemsibu”
Bonyenza Play kusikiliza Full story hapa chini

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.