Header Ads

https://www.youtube.com/channel/UCERjz5nmYNOtG_WBi-1S4xA

VIDEO: ‘Diamond alianza kwa kunilipa Elfu tano na sikuona kama ni tatizo’- Kifesi


Kifesi ni moja kati ya wapiga picha maarufu Tanzania na umaarufu wake ulipatikana baada ya kuwa official photographer  wa Diamond Platnumz. Amepiga story nyingi na Millardayo.com na AyoTV  kuanzia elimu yake, alivyokutana na Diamond, mafanikio aliyopata kutokana na kazi yake hiyo na mengine mengi.
Bonyeza Play hapa chini kutazama FULL Interview na Kifesi

No comments:

Powered by Blogger.