Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / VIDEO: Kamati ya Bunge imemuhoji RC Makonda leo Dodoma

VIDEO: Kamati ya Bunge imemuhoji RC Makonda leo Dodoma

| No comment

Leo March 29 2017 Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge imemuhoji Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda anayetuhumiwa kuingilia Haki, Uhuru na Madaraka ya Bunge kufuatia kauli yake ya kwamba wabunge wanasinzia Bungeni jambo lilotafsiriwa kudharau chombo hicho.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka George Mkuchika amethibitisha kuhojiwa kwa RC Makonda na kuahidi kuiwasilisha ripoti kwa Spika wa Bunge Job Ndugai aliyewatuma kumuhoji.