Header Ads

VIDEO: Lema kuhusu wabunge CCM waliokwenda kumsalimia gerezani kuitwa wasaliti

Moja ya gazeti la leo limeripoti kuwa Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi ‘CCM’, Rais Magufuli amesema kuwa kuna wabunge wa CCM waliunda kamati ya kutaka kwenda Arusha kumtembelea Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema akiwa mahabusu jambo alilosema ni sawa na usaliti kwa chama chake na viongozi wa CCM.
Mbunge Godbless Lema amejitokeza na kuzungumzia kauli hiyo ya Rais Magufuli, Bonyeza play hapa chini kutazama

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.