Header Ads

https://www.youtube.com/channel/UCERjz5nmYNOtG_WBi-1S4xA

VIDEO: Waliopitishwa kugombea ubunge wa bunge la A.Mashariki kupitia CCM

Kikao cha kamati kuu ya Chama cha mapinduzi CCM chini ya mwenyekiti wake Dk. John Pombe Magufuli leo March 29 2017 kimepitisha majina 12 ya wagombea ubunge wa bunge la Afrika Mashariki ambao kati ya hao sita tu ndio watakaopita kwenda katika bunge hilo kupitia chama cha CCM. Waliochukua fomu za kuomba nafasi hiyo walikuwa 450.
Waliopitishwa Tanzania bara wanawake
1. Zainab Rashid mfaume Kawawa
2. Happines Lugiko
3. Francy Nkuhi
4.Happiness Mgalula
Wanaume Tanzania Bara
1. Dr.Ngwaru Jumanne Maghembe
2. Adam Kimbisa
3. Anamringi Macha
4. Charles Makongoro Nyerere
Tanzania Zanzibar wanawake
1.Maryam Ussi Yahaya
2.Rabia Hamid
Tanzania  Zanzibar wanaume
1. Abdallah Makame
2.Mohamed Nuh

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.