Header Ads

https://www.youtube.com/channel/UCERjz5nmYNOtG_WBi-1S4xA

VIDEO: ‘Wanasema Diamond na Alikiba hawakai pamoja, nasema kwangu watakaa’ –Mwakyembe

Waziri wa Habari, utamaduni, sanaa na michezo Dr. Harrison Mwakyembe amewataka Watanzania wote kuungana kwa pamoja ili kukuza sanaa ya burudani na michezo ikiwemo kuichangia timu ya taifa ya vijana Serengeti Boys.
Waziri Mwakyembe ameshukuru kamati ya maandalizi iliyoundwa kwa ajili ya kusuport timu hiyo kwenda kushiriki michuano ya Gabon na Dunia wakiwemo wasanii Diamond Platnumz na Alikiba.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.