Header Ads

VIDEO:KUHUSU MFANYABIASHARA MKUBWA DODOMA ALIYEJIPIGA RISASI NA KUJIUWA MPAKA KUFA

Ikiwa ni siku chache zimepita tangu Serikali ipige marufuku pombe za viroba na baadae ikaanza msako kwa wafanyabiashara wa pombe hizo.
Taarifa iliyoripotiwa leo March 8 2017habari kutokea Dodoma imesema kuwa mfanyabiashara mmoja amejiua kwa kujipiga risasi kichwani baada ya kukutwa na shehena ya pombe za viroba. Mfanyabiashara huyo alikuwa ni wakala mkuu wa usambazaji wa pombe hizo. Unaweza kubonyeza play hapa chini kutazama

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.