Header Ads

https://www.youtube.com/channel/UCERjz5nmYNOtG_WBi-1S4xA

VIDEO:Mashehe, Wasanii Watinga Kanisa la Ufufuo na Uzima Dar


WASANII wa Vichekesho nchini Mussa Kitale na Stan Bakora, wameungana na mashehe leo kwenye ibada katika kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Josephat Gwajima jijini Dar es Salaam.

Mussa Yusuph Mahenge ‘Kitale’ akizungumza kanisani hapo.

Shehe akiwa na Askofu Gwajima Jukwaani kanisani hapo.

Wasanii wa vichekesho wakisalimiana na Mashehe kanisani hapo.

Mussa Kitale akipunga mkono kwa waumini kanisani hapo.

    Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.