Header Ads

VideoMPYA: Hamorapa ametuletea hii yuko na Juma Nature ‘Kiboko ya Mabishoo’

Kutoka Bongoflevani leo March 11 2016 Hamorapa ametuletea video ya mdundo wake mpya ‘Kiboko ya mabisho‘ ambao amemshirikisha mkali wa longtime kwenye game ya Bongofleva Juma Nature, kama utakuwa unazipenda video kutoka Bongoflevani hii nisingependa ikupite weekend hii, Usisahau pia kuniachia comment yako hapa na wakali hawa wataziona hapa.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.