Header Ads

VideoMPYA: Maua Sama anatualika kuitazama hii mpya inaitwa ‘Main Chick’

Bongofleva inazidi kutupa madini mapya kila siku na Leo March 11 2017 ni zamu ya Maua Sama ambaye ametuletea video yake mpya inaitwa ‘Main Chick’.
Unaweza kuitazama hapa chini na usiasahau kuniachia comment yako ili Maua Sama akisoma ajue ni vipi watanzania wameipokea hii.>>>

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.