Header Ads

VIDEO:NAPE APAMBANA NA POLISI WAKIWA NA BASTOLA TAZAMA HAPA KILICHOTOKEA MWANZO MWISHO


Wapuuzi, nimekuja hapa wananitolea bastola eti rudi kwenye gari, nimepigana kuiweka CCM madarakani anakuja mpuuzi eti usishuke kwenye gari, mimi nape sina kinyongo na uamzi wa rais wangu, kama sikumshawishikunichagua hivyo hata kuniacha ni sawa.
Nimejitahidikutimiza wajibu wangu, tusihangaike na Nape tuhangaike na Tanzania inapokwenda nimekuwa mzalendo na muungwana, nimekuwa ninatimiza wajibu wangu 
Mimi ndo nlisimama kuiinua CCM, nitasemakweli daima na fitina kwangu mwiko, kinachotukutanisha sio magwanda ya kijani, ni imani, nimefundisha na mzee Nnauye kusema kweli na kusimamia ninachokiamini, mimi nlishawahikufukuzwa CCM
Usipopita kwenye matatizoya kisiasa hutakomaa, Ili mbegu iote shuti ioze, nimepandambegu ya kupigania haki, Tanzania ni yetu nchini yetu. Mwalimu, Kawawa waliondoka na sisi tutaondoka. 
Lengo la kuja hapa ni kumshukuru rais kwa alichokifanya, namshukuru kwa kuniamini kwa mwaka mmoja, nampongeza Mwakyembe naye ni mwanahabari. 
Nimefurahi kufanya kazi na nyie, muungeni mkono Mwakyembe na Rais Magufuli 
Tudumishe amani na upendo wa nchi yetu, Nape ni mdogo kuliko nchi, wakati wa aliyeniteua ameniondoa mimi nitaendelea kuwatumikia 
Polisi wamezuia gari ya Nape isiondoke, ameshuka kwenye gari anamsikiliza kamanda wa polisi Kinondoni Nape anawataka waandishi wa habari waondoke, anadai hakuna la kuwaambia tena

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.