Header Ads

Breaking News: Spika wa Bunge Aagiza Polisi Wamkamate Mbunge Halima MdeeSpika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugaiameliagiza Jeshi la Polisi kumkamata na kumfikisha Bungeni Mbunge wa Kawe (CHADEMA) Halima Mdee kujibu tuhuma za kutoa lugha za matusi kwa Spika wakati wa uchaguzi wa Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki uliofanyika April 4, 2017.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.