Header Ads

BREAKING NEWS:ROMA MKATOLIKI PAMOJA NA MONI CENTROZONE WA DODOMA WATEKWA USIKU HUU WAKIWA STUDIO

Kwa taarifa  tulizozipata hivi Punde kupitia Page ya Insta ya Mh Mbunge wa Mikumi Mh Prof jay, kwamba wasani wawili wa kizazi kipya ambaye Ni Roma makatoliki wa Tanga pamoja na Mon Centrozone kutoka Dodoma, wametekwa usiku huu na kupelekwa pasipojulikana, Kwa taarifa zaidi tutazidi kuwajuza.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.