Header Ads

Gwajima Aibukia Freemason..Afunguka Haya Mazito Kuhusu Watanzania Waliojiunga na Dini Hiyo..!!

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima  ameendelea na mahubiri yake ya kila Jumapili huku jana akiibua mada ya watanzania waliojiunga na Freemason.
Katika mahubiri hayo, Gwajima alisema wapo watanzania ambao umaarufu wao unatokana na dini ya Freemason huku akihusisha Freemason na imani za kichawi.
“Nataka kabla hujamuimba mchungaji gwajima, urudie mara mbili, natetea wafungwa, askari, walioumizwa, walioachwa, matajiri na maskini,” alisema

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.