Header Ads

https://www.youtube.com/channel/UCERjz5nmYNOtG_WBi-1S4xA

Kweli Wapo Wabunge Waliommiss Jakaya Kikwete...Leo Kaibuka Bungeni na Kushangiliwa Dakika Kumi

Dodoma. Rais Mstaafu wa awamu ya nne  Jakaya Kikwete ameshangiliwa kwa muda wa zaidi ya dakika 10  mara baada ya kuingia bungeni leo asubuhi.

Spika wa Bunge Job Ndugai amesema haijawai kutokea mgeni kushangiliwa katika kipindi chake chote alichokuwepo bungeni.

Bunge limeanza leo mjini Dodoma.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.