Header Ads

MBUNGE WA MLIMBA SUZANI KIWANGA ,ATOKWA NA POVU KISA MKUU WA MKOA

Image result for MH MBUNGE SUZAN
Mbunge wa Mlimba Susan Kiwanga alikuwa mmoja wa wabunge waliosimama Bungeni leo April 19, 2017 ili kuchangia bajeti ya Wizara ya TAMISEMI na ile ya Ofisi ya Rais na utawala bora ambapo kati ya vitu alivyozungumzia ni hatua ya serikali kushindwa kushughulikia baadhi ya mambo yaliyo ndani ya uwezo.
Susan amesema..>>>”Kama kweli ni waungwana kwanini mnaishia kununua ndege hamboreshi ofisi za wakuu wa mikoa ili wakasimamie halmashauri? matokeo yake Mkuu wa mkoa Morogoro hana gari amechukua gari la Kilombero ambalo tumenunua kwa pesa zetu
Miundombinu ni mibovu, acheni ubabaishaji na msicheke inatuumiza sana, maneno mengi kwenye vitabu lakini utekelezaji hakuna’ –Susan Kiwanga
Full video tayari nimekuwekea hapa chini….

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.