Header Ads

Mwili wa sir. Andy Chande wa Freemason Kuchomwa Moto

Mazishi ya mkuu Sir Andy chande aliyefariki huko Nairobi Kenya yanatarajiwa kufanyika Jumanne ijayo kwa mwili wake kuchomwa moto mpaka kuteketea wote.

Wageni zaidi ya 300 kutoka nje ya nchi wakiongozwa na Freemason mkuu watahudhuria mazishi yatayofanyika hapa Dar. Booking za guest wataxofikia zinaendelea kwa kasi ya ajabu hapa jijini.

Kumbuka sir Andy chance alikuwa kiongozi wa Freemason, mmiliki wa shule ya shaaban Robert, Ashawahi kuwa mkuu wa makumbusho ya Taifa (mkabala na IFM).

Mnakaribishwa

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.