Header Ads

Nay wa Mitego na Zitto Kabwe Wafunguka Haya Baada ya Kusikia Roma Kukamatwa na Polisi


Kupitia account zao za Instgram na Twitter Rapa Nay wa Mitego na Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe wameyaandika haya..

”Kuvamia Ofisi Za watu, heh.! Kumbe nayo ni Kazi.?! Nina Imani uko salama mwanangu, Kamanda @roma2030 Sina ata chembe ya wasi wasi. #Wapo.” – Nay wa Mitego.
.
.
”Uvamizi wa studio ya Tongwe na kumkamata msanii Roma Mkatoliki ni mwendelezo wa uongozi wa kigangstar na lazima kulaani Kwa nguvu zetu zote.” – Zitto Kabwe.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.