Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / Picha za Utupu Kitandani Zamkosesha Tunda Dili la Movie

Picha za Utupu Kitandani Zamkosesha Tunda Dili la Movie

| No comment

Tunda amevujisha siri hiyo kupitia eNewz ya EATV na kudai kuwa picha hizo zilizomuonesha akiwa kitandani kwenye pozi zenye utata ziliifanya familia yake ishindwe kuvumilia

"Sijawahi kuwa na mahusiano na Stanbakora, yule ni mshkaji wangu wa karibu sana kwa sababu wote tumekuwa pamoja mkoani Morogoro. Zile picha zilikuwa tuna shoot movie lakini zilivyovuja kabla ya movie kutoka wazazi wangu wakaingilia kati na kuzuia ikabidi iishie hapohapo hayakuwa mapenzi bali kazi" Tunda alifunguka.

Aidha mrembo huyo baada ya kukanusha kuwa na mahusiano na Stan Bakora amemtaka aliyekuwa mpenzi wake Young Dar es saalam kuendelea kupambana na muziki wake ili kurudisha jina lake ambalo lilififia baada ya kujiingiza kwenye matumizi ya madawa ya kulevya.

"Young Dee ni mtu ambaye namfahamu tulishawahi kuwa na relationship kwa muda mrefu lakini ilishaisha na kwa sasa tumebaki kuwa marafiki ambao tunapiga story za kawaida na kushauriana tu.

Nataka kwa sasa akaze tu kwenye muziki kwa sababu ndiyo kitu pekee ambacho kimebaki kitakachomfanya atusue afike mbali na kuhusu madawa kama bado kweli amerudi namshauri  aachane nayo japo sidhani kama ni kweli karudi maana nikiwasiliana naye ananiambia hafikirii tena kurudi huko pia amtangulize Mungu kwenye mambo yake" Tunda alimaliza