Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / Rasmi..Diamond Kufanya Kolabo Mpya na Chris Brown..Hivi Ndivyo Alivyothibitisha ..!!!

Rasmi..Diamond Kufanya Kolabo Mpya na Chris Brown..Hivi Ndivyo Alivyothibitisha ..!!!

| No comment
Diamond Platnumz yupo nchini Afrika Kusini ambapo pamoja na mambo mengine, inaonesha ameenda kushoot video ya collabo yake nyingine na staa wa muziki wa R&B na house nchini humo, Donald.
Hii inakuwa mara ya pili wakali hao wanafanya wimbo pamoja. Mwaka 2015 wawili hao waliachia wimbo uitwao Wangu.
Wote wameweka clip ya video Instagram wakielezea kukutana kwao kwa mara nyingine tena.
“Always nice meeting my south African brother @donaldindenial …..!” ameandika Diamond.
Naye Donald ameandika: The Pride of African Music @diamondplatnumz.”
Wakati huo huo, huenda Diamond akawa anatupa habari kimafumbo kuwa kuna uwezekano wa kumweka Chris Brown kwenye mipango yake ya collabo za baadaye. Akiweka picha ya staa huyo, Diamond ameandika: Nifunge bakuli langu….nikojoe nikalale, Mie bado Mudogo sana…..