Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / SIKU Chache Baada ya Kuonyesha Mtoto Kwenye Mtandao, Ndoa ya Nuh Mziwanda Kukumbwa na Matatizo

SIKU Chache Baada ya Kuonyesha Mtoto Kwenye Mtandao, Ndoa ya Nuh Mziwanda Kukumbwa na Matatizo

| No comment
Nuh Mziwanda anaonekana mwenye furaha kwenye mitandaoni lakini ndoa yake sio shwari hata kamwe.

sababu moja kuu ni uvutano uliyopo kati ya mke wake na familia yake ambayo haikufurahia Nuh Mzinwanda kiuingia uislamuni ili kumuoa.

Mama yake Nuh ndio aliadhirika ata zaidi kwa sababu yeye anafuata mambo ya kanisa sana.

Stori hii ilibainika wazi wakati Soudy Brown alipata kuzungumza na mke wa Nay katika U heard Cluds FM.

“Nilimwambia mama unachelewa, mwambie aniache. Na anajua kuwa mimi sijaolewa na mwanawe, ila anajua nimezaa tu na mwanawe. Kwenye sherehe ya harusi hakuwepo, alikuwa kwenye msiba. Yule mama ni mzee wa Kanisa, alikuwa anataka niende kanisani nibadili dini ndio niolewe.” Mama Anya alisema.