Header Ads

TID Amerudia Tena Kutumia Madawa? Aonyesha Dalili za Uteja Kwenye Mahojiano Haya

TID alitangaza kuacha kutumia madawa kwa mbwembwe na kusema amebadilika kuwa mtu mstaarabuna siyo yule mwenye wenge kama zamani
Ila kwa interview aliyofanyiwa na EATV huenda TID keshayarudia...
Jamaa anadai jina lake la TID aitwe na watu wa mikoani tu sababu ni kuwa jina hilo ni maarufu kupita kiasi, watu wa Dar wamuite Khaleed au mnyama huku akiongea kama ana wenge flani hivi..

Tazama Video:

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.