Tuambiane Ukweli Tu...Mwanamke Unajijua Upo Period, Unafuata Nini kwa Mpenzi Wako?
Hawa viumbe kwa kweli wanaukakasi sana
au niseme tuu sijui ni laana au laa hivi kiukweli una dem na umemmis
sana mnakubaliana muonane mfanye yenu alafu anakuja mnakaa mnakunywa
mnafurahia mnachukua hotel uku mwanaume upo hot mbaya mnafika ndani
alafu anakuambia yupo kwenye siku zake... Hivi hapa unategemea nini
jamani kama siyo kuumizana tuu?
Hii kitu imenitokea imeniuma sana na siyo mara moja kwa kweli hivi ni kwa nini?
No comments:
Post a Comment